JOBLIZ

  • Latest News

    UDIKTETA MAREKANI NCHI ISEMAYO NI KINARA WA DEMOKRASIA

    Taarifa za kiintelejensia kutoka Urusi kwa shirika la foreign Intelligence service limebainisha kuwa lime kamata email zaidi 500 toka Obama kwenda Clinton zinazo husu Tatizo la Hillary Clinton kutembea na Kifaa cha kutunzia uchafu(colostomy bag) ambapo kumekuwepo mjadala mkali kati ya Vyombo vya habari na uongozi wa Obama.mgogoro huo umeanza toka mwaka 2011 kuwa Hillary amekuwa anatembea na kifaa hicho kutokana na ugonjwa wa Akili wa Parkinson ambao ulisababisha aanguke kwenye uwanja wa mpira National Football league (NFL)
    Habari imekuwa ikizungumzwa sana na watumishi wa ikulu haijajulikana vema haswa ni nani aliyevujisha siri hii ambayo imeanza kuvuja toka tarehe 22 august 2016 .
    Kwa mujibu wa chanzo hicho kina sema kuwa o imebidi awekewe kifaa hicho kumsaidia kutoa Mgombea huyo amefanyiwa upasuaji wa tumbo na viungo vyake vimeshindwa kutoa Kinyesi kwa mfumo wa kawaida hivyo kuwekewa kifaa hichi ilikweze kumsaidia. Kwa mujibu wa chanzo hicho kimetanabaisha kuwa ugonjwa anaoUgua mama huyu ona dhofisha uwezo wa kufikiri .kwakuwa umeanza kutirirka katika ugwe mgongo hadi kwenye ubongo wa cerebellum,ikiwa pamoja na maeneo ya basal ganglia .
    Siri hii ilianza kufichuka alipokuwa kwenye kongamano kwenye televisheni mwaka 2015 desemba alipona hisi kifuko kimejaa alihitaji kukihudumia alipochukua muda mrefu maliwatoni akichelea wa mama wengine wasijue.
    Kwa Mujibu wa baraza la usalama la urusi limebainisha kuwa vyombo vingi vya Habari vya Marekani vimeanza  kuonyesha udhaifu  kuhusu swala la Hillary Clinton kwa kufuta maelekezo ya watawala.kama vile;
    1) The Huffing post kwa kumfukuza kazi David Seaman ambayealiandika kuhusu Afya ya Hillary Clinton ambapo kuna zaidi ya watu nne milion wa meshaziona nakala za picha za ugonjwa wa mama huyu na mwandishi huyu anaishi kwa hofu ya usalama wake hivi sasa na makala yake imeondolewa kwenye gazeti hilo.
    2.CNN pia imemfukuza Dr,Drew Pinsky naye pia kwa kuandika juu ya afya ya Hillary Cliinton  chanzo cha habari hii ni Breitbrat
    Hii imevunja katiba ya Marekani wa uhuru wa kupata Habari kwa nchi kubwa kama Marekani kuwafumba vinywa waandishi na vyombo vya Habari.Huu ndio Udikteta mkubwa katika karne hii ya ishirini na moja.
    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: UDIKTETA MAREKANI NCHI ISEMAYO NI KINARA WA DEMOKRASIA Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top