Nyambizi kubwa kuliko zote duniani DMITRI DONSKOY(TK-208) Nato huliita Tyhpoon ambayo hubeba vichwa 200 za kinyuklia imeelekea bahari ya Meditrania kwenye fuko za nchi ya Syira ikisindikizwa na manwari mbili za kujihami .
Nyambizi hii ina makombora yenye uwezo wa kupiga umbali mrefu wa kuvuka Bara hadi bara lingine na makobora hayo yana uwezo wa kuharibu km 10,000 za mraba ambapo imebeba vichwa vya nyukilia aina ya 6-10 MIRV taarifa hii imetolewa na intelejensia ya jeshi la Syria.
0 comments:
Post a Comment