JOBLIZ

  • Latest News

    MALIKIA WATATU WEUSI WA BLACK LIVE MATTER NI TISHIO


    Baraza la Upelelzi la Urusi chini ya Mwenyekiti wake Valentina Matvinko limeanza uchunguzi kupitia Shirika lake la Upelelezi (FSB) kwamba limefichua kundi la Wapigania Haki za kuwa Hai za Watu Weusi ndani ya Marekani ambalo lina Milango ya kibaguzi ya Rangi lijulikanalo kama Black LIVES Matters.Kundi hili la Watetezi wa Haki ya kuishi kwa watu weusi duniani. lina waasisi watatu wawili kati yao ni mabilionea.kundi hili limehamasisha mauaji ya askari wa Dallas na kuwasha chuki za kubaguzi wa Rangi Duniani kote.
    Mauaji mengine yaliyokuwa yamepangwa kuhusanishwa na kikundi hiki ,Kwa mujibu wa taarifa za kijasusi zina sema ulikuwepo mpango wa maendelezo ya mauaji miji mingine katika miji ya Misouri.Tennessee na Georgia.Matajiri  Tom Steyer na Rob Mckay ambao ni wafadhili wa kuu wamechangi mabililon ya dolla kukiwezesha kikundi hiki.Pia mashirika ya Kijamii ya Google na Facebook yamekwisha changia dolla 2.3 Milloni na Kwa kudhibitisha kuhusika kwake wameweka Bango kubwa mbele ya ofisi za Face book.
    Tom Steyer na Rob Mckay ambao ni wafuasi wa chama cha kikomunist ndani ya Marekani cha Democract Alliance (DA) ni wafadhili wakuu wa Kampeni kwa Obama na hivi sasa wanamfadhili Hillary Clinton.Haijulikani kwa sasa kwa uhakika ni kwa nini Matajiri hao wakubwa wana wafadhili hao Malikia watatu Weusi na kwa nini Mashirika makubwa ya Facebook na Google wamejiunga nao huo ndio limekuwa swali la Baraza la kijasusi la Urusi chini ya shirika lao la (FSB) lipo katiaka harakati za Kiupelelezi wakiliweka kundi hili katika mojawapo ya makundi ya Kigaidi ya kubaguzi wa Rangi.Shirikika la Kijasusi hili limeonya maanadamano hayo ya watu weusi kuwa nitishio kwa lugha za kichochezi zinazotolewa hasa ukiangalia na kusikiliza kauli na matamshi yanayotolewa katika maandamano hayo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MALIKIA WATATU WEUSI WA BLACK LIVE MATTER NI TISHIO Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top