JOBLIZ

  • Latest News

    MADINI YA TANZANITE FAHARI YA TANZANIA

    Kito cha tanzanite kisayansi ni jamii ya madini ya aina ya zoisite ina sifa ya kubadili rangi zake inapokuwa katika mwanga na hasa katika rangi za kibluu bahari ,zambarau na kijivu.
    sifa ya kito hiki hujulikana kama kito cha miujiza kwa kuwa huleta amani katika nafsi kwa muonekano wake.Mvuto wamwonekano wake hufanya nafsi kuwa katika pumziko la utulivu hata unapokuwa unapokuwa na mgongano wakinafsi.Hutumika katika maswala ya kiimani katika uponyaji.

    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MADINI YA TANZANITE FAHARI YA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top