JOBLIZ

  • Latest News

    KIFO CHA SERGEY SKRIPAL NI SOMO KWA MZALENDO MTANZANIA

    Sergey viktrovich Skripal alizaliwa Urusi 23 juni 1951 .Maisha yake ya utotoni haya fahamiki sana Alifanya kazi katika usalama wa Taifa wa Jeshi GRU ya Urusi.Alifikia cheo cha Kanali akatoka jeshi na kuingia Wizara ya Mambo ya Nje mwaka 1999 na Jeshini alishawahi kuwa Mkufunzi katika maswala ya  medani za kivita Academy ya Jeshi  la Urusi Moscow.
    Mwaka 2004 alikamatwa na FSS ya Urusi ambayo inafanya kazi sawa na FBI ya Marekani kwa kosa la Uhaini. Kosa ilikuwa ni kutoa siri za nchi ya Urusi kwa shirika la Ujasusi M16 La Uingereza.Kwa Agent wa Uingereza aliye kuwa katika ubalozi mwa 1995.Kosa kubwa alikuwa anatoa siri za Majasusi wa Urusi na namba zao za nywira ambayo haya aliyakiri katika Mahakama ya kijeshi.
    Mwaka 2010 FBI walisema imewakamata kikundi cha majasusi wa Urusi ambazo zilitokana na uvujishaji wa siri wa Sergey.
    Na mwaka huo huo FBI  wakaomba kubadilishana wafungwa 10 majasusi wa Urusi kwa mfungwa mmoja ambaye ni SERGEY  Mabadilishano hayo yalifanyika Kiwanja cha ndege cha Vienna  kwa ndege za mabadilishano kukaa sambamba uwanjani
    kisingizio kuwa Urusi imemua SERGEY sio kweli  Ni uzushi wa nchi za Magaribi kwa mujibu wa Gazeti THE DURAN la 10 machi 2018 mwandishi akiwa ni Alex Chirtoforou hapa mwandishi anabainisha kuwa Sergey alikuwa anaijua siri za kashfa STEELE DOSSIER ambazo bibie Hillary Clinton  anahusika nazo . Toka 1995 Urusi ilikuwa imemtia kizuizini hadi juni 2010 iamue kipindi hiki kumua ambapo hana thamani kwao tena kama ambavyo alikuwa kwa Marekani.Ukweli ni kuwa Christopher Steele  ni jasusi wa Uingreza waliokuwa wa na shirikiana na Jasusi Sergey kumpindua madarakani TRUMP hivyo yalikuwa yameandaliwa MAANDAMANO MAKUBWA  yaliyokuwa yanaitwa March for  our  life Demonstration ya 24 march 2018 maandamano haya yalikuwa ni figisufigisu isipokuwa yalikuwa ni mpango halisi wa Mapinduzi ya kihistoria ndani ya Marekani.Mjumbe wa EU wa Poland  JANUSZ KORWIN-MIKKE Alizinyaka siri za hayo Mapinduzi haraka haraka akai uliza CIA haikumpa jibu akaisogeza kwa M16 ikastuka hivyo mipango ya muda mrefu ikawa imekwama na matokeo yake ni kifo cha Sergey  na majibizano ya kufuza mabalozi tunayo ona sasa sababu ni kukwama kwa Mapinduzi hayo Makubwa ya Peoples  Power . Mwenye  nia njema na nchi hii tutafakari kwa kina mstakabali wa nchi hii usiingizwe  kwa mkumbo n a akina Mange Kimambi na wengine wengi wasio itakia Mema nchi. Sina Data kamili lakini akina Mange huenda fununu za Mapinduzi ya Marekani yaliyokwama walikuwa wameyasikia nalitaka kuambukiza kwetu.TANZANIA ina kwenda vizuri tafakari kabla hujaamua kumfuata mtu kumbuka tuliko toka tulipo .Hakuna Rais yeyote aliyetangulia anayeweza kunyooshewa kidole hapa Tanzania .Rais Nyerere alikuwa na kipindi kigumu alizungukwa na wakoloni mkongwe alipambana alishinda hadi leo hii Nhi zipo huru kwa gharama na uchumi wa TANZANIA .Vita vya Uganda  uchumi uliporomoka mno. Rais Mwinyi aliishika nch hii tulikuwa tunajipanga foleni hadi chumvi alifanya mazuri hatukuwa na mambo mengi alifanya aliyoweza. Rais Mkapa shulen zilikuwa za nyasi na tope kwenda Dar hadi upite Nairobi alifanya kila njia ili mambo  yaende hata kwa kuya binafisha mashirika ya umma yaliyokuwa yanaitegemea ruzuku toka serikali kujiendesha .Rais Kikwete aliirejeshea Heshima TANZANIA  kumpiga M23 na kuanza kwa kuliboresha zaidi Jeshi letu . Pia kuruhusu mchakato wa Katiba mpya .Sasa tunaye Magufuli anavita vya Ukoloni Mambo leo hii sio vita rahisi ni ngumu sana hasa ukiwa na Yuda Iskarioti.Je nani angalijua Marekani ulikuwepo mchakato wa Mapinduzi wa Nguvu za wananchi usiona tija Kama uliofanyika Uarabuni .Nchi zote zilizofanya maandamano ya Peoples Power hazipo salama na huu ni msemo ulio katika kipindi kimoja cha Aljazeera .Huu ni mwezi April  tarehe 26 sio mbali Mzalendo wa kweli hata unga mkono Mandamano hayo.UHURU NA KAZI.
    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KIFO CHA SERGEY SKRIPAL NI SOMO KWA MZALENDO MTANZANIA Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top