Kutokan na taarifa iliyotolewa na Kremlin kuanguka kwa ndege ya Misri iliyoanguka tarehe 19 may Ndege namba 804 Egypt air flight804 iliyoanguka katika bahari ya meditrania ilitokana na Kupigwa na Mabaki ya Vimondo (Meteorite)shirika la ndege la kijeshi ADF (Aerospace defence force ) la Urusi lilizipa taarifa vikosi vyake vyote vya Anga vilivyoko Vitani Syria kuwa na tahathari ya kusomeka kikompyuta taarifa feki za mashambulio kutoka angani kutokana na vimondo hivyo vitawezakusomeka kwenye Rada zao.Hapo chini ni taarifa iliyosomeka kwa Kiingereza.
Kulingana na taarifa ya tarehe 17 may 2016 kifaa cha okno optoelecrtonic space surviellince kit iliyopo Tajikitstan ilituma taarifa za onyo la hatari kwa ADF kwamba imeona kimondo karibu na dunia kinacho anguka kwa spidi ya 670000 kwa saa ikiwa na Tungamo la uzito kwa kati ya tani 8000 hadi 10000 .ADF ilielekeza satellite ya Kanopus kufuatilia mwenedo wake .Satellite imeonyesha kuwa kimondo hicho kita angukia Kasikazini mwa Marekani.Bahati iliyotokea kimondo hicho kililipuka na kutawanyika Angani kuwa vipande vidogo vidogo vilivyoonekana kwenye anga duniani kote .Kutokana na mlipuko huo wa Kimondo hicho ulisababisha mtawanyiko wa vipande vidogo vidogo maelfu angani .Baada ya masaa 48 toka onyo hili la ADF kutokea ndipo Ndege ya Misri kukumbana na Ajali hii ya Kimondo na kuangukia kwenye Bahari ya Meditrania.
Kulingana na histori ya kuanguka kwa vimondo kidunia toka mwaka 1994 -2013 kumonekana kuwa kila wakati mabonge makubwa ya vimondo yenye tani nyingi hulipuka yanapoifika anga ya dunia na hadi Taarifa hii ninapoitoa grafu ya kuanguka kwa vimondo vimeongezeka kama inavyonekana hapo chini.
Usalama wa taifa wa nchi za kimagaribi kama vile British M16,Mossad,CIA,DIA zimefanya juhudi kuzuia kutolewa taarifa hizi kufikia wananchi wake kuwa na hofu.kwa mujibu wa gazeti la Daily caller la Marekani.pia KGB imezuia wananchi wake kupata taarifa hizi kupitia profesor wa diplomati Igor panarin kukanusha habari hizi kupitia gazeti TRUD na tv ya REN TV.

0 comments:
Post a Comment