JOBLIZ

  • Latest News

    MUZIKI WA KIMAREKANI KUCHEZWA NA WARUSI

    Shirika la ujasusi la Urusi chini ya Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetoa tamko kuwa NATO inao mpango wa vita vya nyukilia kwakuwa  haijasimamisha hatua zake za kurutubisha makombora na kuyaboresha.Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa mezaani kwa hivi sasa Urusi imepata ongezeko la maadui mara dufu zaidi ya miaka 1941 ambapo iliposhambuliwa na Majeshi ya Ujeremani.Kwa mujibu wa taarifa za kinteljensia. Marekani itaongoza nchi za Magharibi kuishambulia Urusi. Taarifa hizi zilitolewa na Dr. Paul Crag Roberts aliyekuwa katibu Msaidizi  wa Taifa la Marekani.Alipotoa onyo kuwa Marekani inao mpango huo wa kushambulia nchi za China na Urusi
    Dr.Robert alitanabaisha kuwa kwa uongozi wa Marekani watashinda vita hivi dhidi ya Urusi bila ya madhara makubwa kwa Marekani.Kiburi hiki cha Marekani ni kuwa watatumia drones za submarine zenye silaha za kinyukilia ambazo kwa tekinolojia waliyonayo sasa kuwa wata sababisha wimbi kubwa la tsunami na kuambukiza masalio ya radioactive kwenye mwambao wa mahasimu wao.
    Mchezo huu mchafu umeshutukiwa na Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Ndugu.Sergei Lacrov kwa uthibitisho zaidi nikutokana na onyo kali lilitolewa Tv RT ya Urusi kuionya Marekani na Mpango wao huo
    Mpango mchafu huu wa kinyama unaelezwa pia na General wa Marekani kwenye kitabu chake Sir Richard Shireff akionya kuwa vita hivi vya weza kutokea mwaka 2017 Kwa Urusi kushambulia nch za Baltic.Ambapo Raia wa Marekani wanadhibitisha kuwa Urusi haija wahi kuwa na mpango wa kuzitaka nchi hizo.Onyo lilisha wahi kutolewa na Mpigania Haki za Weusi MALCOM X kuwa waangalifu na magazeti yanayotetea Sera za Kimagharibi kuwa zita waumiza walio wengi na wanyonge kwa kuwa tetea wenye nguvu wachache.

    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MUZIKI WA KIMAREKANI KUCHEZWA NA WARUSI Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top