Wakati vyanzo vingi vya habari vimekuwa vikisema kuwa Ndege ya Kibiashara iliyoanguka katika Rasi ya Sinai kuwa iliangushwa kwa kombora .Maafisa wa Kijeshi wa Marekani wanakanusha madai hayo kuwa sio kweli kwakuwa kumbukumbu za sateliti hazionyeshi hivyo isipokuwa ni mlipoko uliotoka ndani ya ndege hiyo
Tathimini ya kiintelenjesia ya Marekani inaamini kuwa mlipuko uliotokea huenda ni kutokana na Tanki la mafuta au bomu lililokuwa kwenye ndege na hakuna dalili zinazoonyesha kuwa ilipigwa kwa kombora iliyoingusha ndege hiyo.
Hivyo wazo la kusema kuwa ndege hiyo ilipigwa kwa kombora halipo tena mezani

0 comments:
Post a Comment