Baada ya ndege ya kiraia ya Urusi kuangushwa na Magaidi ya Isisi huko milima ya Sinai Misri.Urusi imeamua kuishambulia kwa silaha za kinyukilia dola lote linaloshikiriwa Dola la Magaidi wa Kislamu.
Hivi sasa Utawala wa Kermilin unasubiri majibu ya washirika wake kuiunga mkono katika maamuzi yake hayo.Jeshi limeanza kuwaondoa raia wake katika maeneo ya vita hususani Iraki,Siria na nchi zilizo kwenye Ghuba ya Uarabuni.
Silaha hizo zimeanza kuonekana katika maeneo ya mipakani mwa nchi ya Urusi na maeneo muhimu ya kurushia makombora hayo.
Urusi imechukua hatua hiyo kulinda heshima yake na kwa raia wake
Ingawa Urusi imeanzaa maandalizi imekwisha kufanya mazungumuzo ya siri na NATO naikathibitisha kuwa Haita zishambulia Ukreini na Georgia.Kwa makubaliano kuwa itakapo fanya hivyo itakuwa imeruhusu nchi za NATO kuwa shambulia wao pia kwa silaha za kinyukilia
Wapiganaji wa kikurdi na Majeshi ya Siria yaliyokatika maeneo yaliyolengwa na mashambulio hayo kutoka katikamaeneo hayo haraka.

0 comments:
Post a Comment