Baada ya China kupitisha sheria ya kupamabana na Ugaidi ndani na nje ya China .Hatimaye Vikosi vya jeshi kazi maaluma vya Saiberian Tiger na Night Tiger.Kuingia katika mapambano ya kisilaha dhidi ya Magaidi wa Isis/Isal na Daesh ndani ya Syiria.Saiberia Tiger wakipewa jukumu la jimbo la Xinjing na kuvuks mipaka
Msingi mkuu wa china kuingilia vita hivi ni kupoteza kwa visima vyake vya mafuta ndani ya Syiria ambavyo vimesimamisha uzalishaji wa mafuta kutokana na vita hivyo.
Pili ni ugaidi uanofanywa na kundi la kigaidi la wasilamu wa Uighurs Jihadist kwenye jimbo lake la Xinjing ambapo Intelgensia ya Uturuki ikiwa inawasaidia.Rais Erdogan ambaye kwa wanazuoni wa kiislamu wanasema ndiye Madhi anyekuja na kwa wanazuoni wa Kikiristo huenda akawa ndiye Antichrist ajaye.
Mwandiishi wa Habari wa gazeti la Whatdoesitmean.com amendelea kutanabaisha kuwa
Kudorora kwa uchumi wa China imetafuta njia nyingine wa kujiimarisha kijeshi ndani ya Syiria ilikuweza kulinda uwekezji wake wa visima vya Mafuta na Biashara ya silaha.
Haya yote yanapofanyika America imekuwa ikivisaaidia vikundi vya Isis kwa zana na Inteligensia na kuwa danganya raia wake ukweli ndani ya Syiria hadi vita ilipoingiliwa na Urusi kwa kuafurusha Magaidi hao na
kuonekana shujaa kwa mataifa .Askari 5000 wa kichina waliona mafunzo ya hali ya juu ya kivita pamoja na Jeshi maalum la kivita la Urusi the Spetznas limeanza kuleta vuguvugu Mashariki ya Kati kwa kuwa Urusi na China wanamuunga mkono Assad na Ambapo Uturuki pamoja umoja wa NATO unaongozwa na Marekani wakiwa upande wa Magaidi wa Isis,Isal na Daesh . Ushahidi kuwa marekani inaunga mkono Ugaidi nia Ambapo iliposhambulia vikosi vya Spetanas vya urusi na kuipiga kombora ndege ya upelelezi ya Urusi iliyo gundua kambi ya Isis ndani ya Marekani katika jimbo Tennessee kwenye viwanja vya Dover.ilivyopewa jina la islamville.Majasusi wamekuwa wanawatorosha Magaidi na kuwapeleka huko kupata mafunzo ambapo ni kilometa 32 tu kutoka kambi ya Jeshi laFortcampell la marekani . Isitoshe 78%alilimia iliyopo katika majimbo 22 ya misikiti ya kiislamu ni ya Mtandao wa Musilm brotherhood na yanamilikiwa na Northern America Trust(NAIT) ambayo ni Bank ya Musilm Brotherhood inayofadhiliwa na Rais Obama mwenyewe soma katika Presidential study Directive-11.Vurugu hili ambapo lazima japani iingilie kati na Korea ya kasikazini itakapoingia kwakuwa wanauhasama na Japan.Japani itaingia kwa sababu ya kukumbushia makovu iliyopata katika vita vyao na Urusi.Iran inaingia katika vita ya kwa misingi ya kiimani ilikuwezesha utendaji wa Mahdi (Antchrist) na imekwisha tenga askari vijana 200,000.Iran itaingia ya mwisho katika vita hivi na itatakiwa kuwa na silaha kali kuweza kumwezesha Mahdi kutawala kwa Imani ya waislamu wa Kishia na Ndipo Israeli Itakapozungukwa Pande zote na Majeshi ya Mataifa .Na bomu la nyuklia na Hydrogen yatletwa na kutumika mashariki ya Kati ukisoma toka Ezekieli 36. nakufikia Ezekieli 39; 14 mstari unao sema nao watachagua watachagua watu wakufanya kazi ya daima watakapopita katika nchi kuzika waliosalia juu ya nchi ilikuisafisha Miezi saba 15,Na hao wapitao katika nchi watfuta ;na mtu yeyote aonapo mfupa wa mtu ndipo atakapoweka alama karibu nao,hata wazishi watakapouzika katika katika bonde la Hamon -Gogu.heri wafu wafao katika bwana maana matendoo yao yatawafuata R.I.P Moses Kulola.

0 comments:
Post a Comment