Vyombo vya habari vimekuwa vina udanganya ulimwengu kwa taarifa zisizo za kweli kuhusu vita dhidi ya Isis na kuipa dunia taswira ambayo sio kweli ..Mfano mzuri ni kwa kukamatwa kwa kiongozi wa Isis mpya aliyekuwa anasafirishwa na Marekani kutoka Saudi Arabia kwenda kuweti kwa boat za kivita aina ya RCB njama hizo zilinswa na Inteligesia ya Irani (JIC) hivyo wakaanda mtego wa kuwa nasa kwa kuaanda boat nyingi kushinda za marekani wakapiga makombora ya tahadhari kwa Manwari ya USS HARRY TRUMAN iliyotaka kuingilia kati.
Mateka hao walipelekwa katika kisiwa cha Farsi ambapo yaka anza mazungumuzo kati ya Kamanda wa Irani Admirala Fadavi naibu waziri wa mambo ya nje Ulaya na Marekani Majid Tahkt Ravanchi.Mazungumzo ya kubadilishana mateka wa Irani na hao wa Marekani na Isis .Mazungumuzo hapo awali yalikuwa yakiongozwa na Wendy Shermani amabye alikuwa mfanyakazi wa Ustawi wa jamii aliyeteuliwa kwa siri na Obama kuhusika na mazungumzo ya mateka wa Irani kabla ya kutekwa kwa askari wa Marekani .
Bi Wendy Sherman
Baada ya tukio hilo Utawala wa Obama uliagiza kuachiwa huru kwa mateka saba wa Irani kwa mabadilishano ya mateka wa viongozi wa Isis na askari wa Jeshi la majini la Marekani
Kwa makubaliano haraka Irani ilikubali kuwa achia Mateka hao ambao ni viongozi wa Isis ..Marekani ikisisi tiza hasa kuachiwa kwa Gaidi Nosratollah Khosravi Matt Tervithick mbali na magaidi wale wengine watatu
Kwa kutekeleza zaidi na kuipa Irani bonas ya kuficha siri hii Marekani ikafuta Vikwazo vya kuiuzia vifaa vya Ndege za kivita Iran tarehe 15 january 2016,
Kwa ujinga wa vyombo vya habari vya magharibi zika rudisha nyuma taarifa hii hadi 29 Desemba na 12 January ilikuficha Uozo huu.latukio la Irani kushambulia Manwari ya Marekani .Habari hii ilitolewa hadharani na askari wa Jeshi la Marekani kumkomoa rais wao kwa kukataa wa kuvishambulia vyombo vya Irani kwa Media ya whatdoesitmean.com.

0 comments:
Post a Comment