JOBLIZ

  • Latest News

    BUSH NA CONDOLEEZZA RICE KASHIFA KAMA CLINTON

    Uchaguzi wa Rais wa America unasogea hivyo vitimbwi vya kashifa za anza kutoka.Siri iliyokuwa imfichika kwa muda mrefu hatimaye imefichuka kuwa GEORGE W.BUSH na CONDOLEEZA RICE walikuwa na mahusiano ya kingono.
    Taarifa zina sema kuwa Katibu mkuu wa Ikulu ya Marekani wakati huo George w. Bush walikuwa na mahusiano kama ilivyokuwa kwa Clinton.Magazet kadhaa ya huko yametoa taarifa hiyo yakiwa ni Starpusle,National Enquirer,na Radar Online.
    Radar online limesema kuwa linazo habari za kina kutoka kwa jasusi wa FBI ambaye hakutajwa jina kuwa alikuwa tayari kufumua Sir za Geore w.Bush kuwa ni Mtumia Dawa za kulevya pia alikuwa na mahusiano na Condoleeza Rice
    Sir hii ilitoka kwa mara ya kwanza kutoka kwa mpishi wa Ikulu aliyekuwa anajulikana kwa jina la Ronnie Seaton,Ambaye alitishwa na  Usalama wa Taifa wa Marekani asiitoe siri hii.
    Seaton anasema kuwa walifumwa hawa wapenzi wawili siku ambayo wao walisema wana kikao kushughulikia Maswala ya Siasa za Nchi za nje.Ambapo Laura Bush aliwafumania na akaanza kumgombeza
    Mumewe kuwa kama hii itaendelea itabidi aitamke hadharani ilikufunga  mahusiano hayo.
    Ambapo kweli mahusiano ya Rice na Bushi yalipungua na ina hofiwa kuwa kama waliendelea basi ilikuwa katika usiri mkubwa.
    Tabia nyingine iliyokuwa inamkera Mama Laura Bushi ni ulevi na utumiaji wa Mdawa ya kulevya kwa Bushi Bw,Seaton 60. alisema hayo kwa Jasusi wa FBI kuwa anamfuamu vema Bushi kwa sababu amefanya Kazi kama mpishi miongo mitatu Ikulu.utumiaji wa vileo hivyo yamkini ndivyo vilivyo mpelekea Bush kukosa maadili.
    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BUSH NA CONDOLEEZZA RICE KASHIFA KAMA CLINTON Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top