Baraza la Usalama la Urusi limeagizwa kuachia hadharani kwa Barua pepe mojawapo za Hillary Clinton
zilizokuwa zimenaswa na shirika la kijasusi la Urusi(SVR)
Nia kuu ya kuanza kuziachia Barua hizo ni kwa ajili ya kutatua mgogoro uliopo kati ya Mkurugenzi wa Usalama(FBS) Bw. Alexander Bortnikov na Mwenyekiti wa Halimashuri ya Usalama wa Taifa la Urusi Bi Valentina Matviyenko kwa visa vya vyombo vya habari vya Magharibi kwa Barua pepe za Siri Kuu(top Secret) za aliyekuwa Katibu mkuu wa Marekani ambaye sasa ni Mgombea wa Urais Hillary Clinton.
Mgogoro huu wa Siri za Barua pepe ulianza kutolewa na blog za kisiasa za Marekani Gateway pundit liloandika habari zake katika makala yake ya kisiasa yenye kichwa cha habari REPORT:HILLARY"S EMAILS HACKED BY RUSSIAN LA TAREHE 5.Mei baade Fox News nayo ikaitoa kwenye Matangazo yake
Taarifa hii haielezi wazi ni kwa nani aliyepewa kibali na Rais Putin kutoa hadharani kwa barua pepe mojawapo kati ya barua pepe 2000.Shirika la kimataifa la wikileak linalo chapisha habari za siri za kimataifa lilitoa taarifa hii kwenye Twitter kuwa limezipata taarifa hizi kwenye chanzo chake cha siri kwa mtu ambaye hakujitambulisha na kuipa taarifa hii kwa kichwa cha habari.Is this the email the FBI"s star exhibit against Hillary Clinton ("H")
Taswira mbaya inayojitokeza kuwa Hillary Clinton aliagiza Kupelekewa Siri zilizohifadhiwa za Serika kupitia Kompyuta yake ya Binafsi isiyokuwa salama ambapo sheria za Usalama za Nchi yake haziruhusu jambo hilo kufanyika.Na katika kampeni zake amekuwa akilisafisha kosa lake hilo kwa kusema kuwa inaruhusiwa kutumia barua pepe ambazo sio za serikali,.Lakini kwa mujibu wa sheria kuu za usalama za Marekani sheria no 18 ibara ya793(f) ilimtia hatiani aliyekuwa Balozi nchini Kenya Bw,Jonathan Scott Gration kwa kosa hilo hilo kwa kutumia barua pepe zisizo za Serikali na alilazimishwa kujiuzuru .chanzo cha Taarifa hii ni whatdoesitmean.com.
0 comments:
Post a Comment