Ukoloni mkongwe ni utawala uliokuwa ni utawala wa kumnyonya Mwafrika moja kwa moja kwa kumtumikisha na kuuchukua Uchumi wa nchi hiyo kwa mabavu.Ukoloni mamboleo ni tofauti sana kwa kuwa Mkoloni huyu anakupa uhuru wako wa bendera unakuwa na Serikali yako na mifumo yote ya kiutawala .Ukoloni huu Mamboleo hutumia akili sana Kwa kuleta vitu kama Msaada na Na Msaada huo kuwa wa Masharti Mfano ni Umeme wa REA mwsaada wa shirika MCC la Marekani na .Msaada huu wa REA ni mpango wa umeme vijijini .Msaada huu kwa vijijin hauwafikii wote ni wachache tu ambapo nguzo zina pita ambapo ufadhili ungalikuwa kwa kutoa Teknolojia ya Umeme wa sola na wa upepo ungeliwafikia waliowengi zaidi kwa bei nafuu zaidi. .
Taarifa kutoka katika Gazeti la Common Dreams la Marekani la tarehe 26 may 2016 limebainisha kuwa Hivi sasa ajira imeongezeka kwa asilimia 22% katika sekta ya nishati kwa utengenezaji wa solar kwa Marekani pekee toka Mwaka 2015.Ureno na Ujeremani imongeza ajira watu 8.1milion.China imeongeza ajira kwa asilimia 3.5 Milion.Japani imeongeza ajira kwa 28 %Kwa ongezeko la ukuaji wa teknolojiia hii umesukumwa na unafuu wa Gharama katika Matumizi pia Utunzaji wa Maziingira kwa kupunguza uongezaji wa hewa ya ukaa .Kwa matumizi ya Teknolojia hii itaokoa Trillion 4.2 dolla za Marekani na itaokoa vifo vya watu million 4.kwa mwaka.wakati huo ajira kwa sekita hiyo ya nishati ya Gesi na Mafuta Imepungua kwa asilimia 18%.
Inapaswa wachumi na wasomi wa Afrika kuanza kubadilika sana na kuacha kukumbatia kila msaada kutoka Nchi za Magharibi na kuanza kuwa na umakini sana kwa kila program zinazotoka huko na kuhakikisha kujikomboa katika makucha ya Ukoloni mambo leo

0 comments:
Post a Comment