JOBLIZ

JECHA SALIM JECHA ATOA MAAMUZI MAGUMU KWA FUTA MATOKEAO YA UCHAGUZI ZANZIBAR


Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ametangaza kufutwa kwa matokeo hayo ya uchaguzi visiwani  humo akisema  uchaguzi huo umejaa kasoro nyingi.

Kasoro za msingi zilizo pelekea kufutwa kwa Matokeo hayo ni kuwa Mkamishina wa Tume badala ya kutekeleza majukumu yao wamekuwa wakiwakilisha vyama vyao kinyume na mwongozo wao wa kikatiba

Kutokufuata taratibu za uchanguzi kwa kufukuzwa kwa mawakala katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kusababisha sintofahamu nyingi kama vile kuongezeka kwa kura zilizopigwa zaidi ya wapiga kura wenyewe.

Viongozi kuanza kutangaza matokeo yao wenyewe kinyume na utaratibu uliowekwa na kuweka hamasa kwa vijana kuleta uvunjivu wa Amani visiwani humo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: JECHA SALIM JECHA ATOA MAAMUZI MAGUMU KWA FUTA MATOKEAO YA UCHAGUZI ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe