JOBLIZ

DR.MAGUFULI AMEKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI WA UGOMBEA URAIS

 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania Jaji Damian Lubuva alimakabidhi hati maalum ya Ushindi Dr John Jeosph Pombe Magufuli pamoja na Mgombe mwenza Bi Samia Suluhu Hassan ambaye atakuwa Mwanamke wa kwanza Kuwa Makamu wa Rais toka Uhuru wa Tanzania
 Sherehe ya makabidhiano hayo ilihudhuriwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Diamond jubilee.
Rais mtarajiwa alitoa hotuba fupi katika ofisi za Ccm na kuweza kutoa machache yaliyokuwa moyoni mwake kuhusu usaliti wa baadhi ya wana Ccm na kutoa msamaha wake iliwaweze kuanza upya .
  • Blogger Comments
  • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: DR.MAGUFULI AMEKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI WA UGOMBEA URAIS Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe