Jeshi la Naigeria(AFP) lilivamia misitu ya Sambisa na kuyazidi makundi ya magaidi wa Boko Haram kasikazini mashariki mwa nchi hiyo.
Kikosi cha jeshi hilo kiliokoa mateka 338 na kati ya hayo 192 walikuwa watoto wadogo na 132 wakiwa ni wanawake.
Haikuweza kujulikana haraka kati ya mateka hao walikuwemo wasichana 200 waliokuwa wametekwa na magaidi hao.
Jeshi hilo liliweza kua Magaidi 30 na kuteka silaha pamoja na milipuko kadhaa.
0 comments:
Post a Comment