Mgombea wa Ukawa Bw.Edward Ngoyayi Lowasa amepinga matokeo yanayo tangazwa na Jaji Lubuva kwa kusema kuwa kuna kasoro nyingi zimejitokeza ikiwemo ya kukamatwa kwa anachokiita wakujumlishaji wake wa matokeo ya urasi..
Akiongea na waandishi amethibitisha kuwa matokeo yanayotolewa hivi sasa haya lingani na idadi ya kura alizopata katika vituo kabla ya vijana wake kukamatwa kama vile matokeo ya Makunduchi,Donge,Tunduru na Tunduma
Pia amesisitiza kuwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imefuta matokeo yote ya uchaguzi ,Hivyo kuendelea
kutangaza matokeo ni kuvunja Muungano kwa kuwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ni Mawakala wa Tume ya Uchaguzi wa Tanzania .

0 comments:
Post a Comment