Mkuu wa kitengo cha ujasusi cha Urusi Bw.Alexander Bortnnikov amekiri rasmi siku ya alhamisi kuwa ISIS wanahusika na shambulio la ndege,Kwa tukio lilofanyika mwezi oktoba mwaka huu kwa kusema kuwa imegundulika kuwa mabaki ya Milipuko ya TNT yaliyoonekana katika masalia ya ndege kwa abira moja yanakisiwa kuwa ni yenye uzito wa kilo moja.Uchunguzi uaonyesha kuwa ulikuwa ndani ya mizigo ya abiria mmoja.Rais Putin ameiagiza shirika la kijasusi la Urusi kuwatafuta Magaidi wote wananohusika na shambulio hilo lilinoua wastani wa abiria 240 wote waliokuwa kwenye ndege hiyo.Urusi imesema kuwa itaongeza mashambulio ya anga kwa Magaidi wote walioko Syiria
- Blogger Comments
- Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment