Zaidi ya vijana wa kiislamu 150 wakiwa na Maimamu wao walishiriki Ibada ya Kristimas katika mji wa Kaduna huko Naigeria.Lengo likiwa ni kuleta amani na uvumilivu wa kiimani katika Jimbo taarifa hii ilitolea na shrika la habari
la Naigeria NAN.
Ibada iliongozwa na Mchungaji Yohana Buru wa Kanisa la General of Overseer of Christ Evangelical Intercessary Fellowship la Kaduna
Maombi yaliongozwa na Wachungaji na Maimam ,wakuu wa kimila na makundi mbalimbali ya Wakristo walishiriki ibada hiyo.
Baadhi ya viongozi wa kimila waliohudhuria Ibada hiyo walikuepo Alhaji Ahmad Idrisa,Chika Soran Zazzu,na Hakimin Unguwar Ma'a'izu aliyeongoza kundi la waislamu kuwapongeza wakristo na kuwa takia heri ya Krismasi.
Alhaji Idria aliwaeleza Wakristo kuwa hata wao pia wana mpenda Yesu Kristo hivyo wauimarishe undugu kwa kuwa wote ni wana wa Adamu na Hawa.

0 comments:
Post a Comment