Habari ya kutishia amani ya dunia imeanza kunong'onwa ndani ya Kermlini hivi karibuni kuwa kwa takribani wa miaka 15 Ndani ya mkataba wa Urafiki wa china na Urusi(Sino-Russian Treaty of friendship) ambao unahusu makubaliano ya kusaidiana kimapambano ya kivita au kuteteana katika hoja za kimataifa.Sasa hali hiyo imeanza kuwa tisho.Kwa china kuvunja makubaliano yaliyo katika sura number 9 katika mkataba wao. Kwa mujibu wa habari hizi Rais Xin Jinping ametoa onyo la tahadhari ya kivita dhidi ya Rais Obama wa Marekani .
Hatua ya kuvujna mkataba huo umesababishwa na mambo ya fuatayo.
1.Mashambulio ya kintelejensia katika Bahari ya China kusini na Majeshi ya Marekani
2.Kwa uwezekano wa Hillray Cliton kuwa Rais ambapo ni mwanamke anayechukiwa sana Uchina
3 Kwa uwezekano wa Donarld Trump kuwa Rais ambaye anaonekana kuwa tishio la Usalama wa China
4 Kwa tisio la kutumika kwa silaha za nyuklia zinazoonyeshwa na Korea Kasikazini (DPRK) kwa kuwa Marekani wana mahusiano na Korea ya Kusini.
Na tishio baya zaidi ni kwa Mgombea Urais Trump kueleza wazi shambulio la kiuchumi kuwa ataongeza Kodi kwa makampuni ya kigeni hasa ya Kichina hivyo tishio la kiuchumi kwa China.
Taarifa za kiintelegensia zimetoka kwenye meza ya Waziri wa Ulinzi kuwa sasa China itaweka Majeshi yake Katika eneo la La Afrika Mashariki haswa Somalia ilikuweza kuvunja nguvu za Marekani uwezo wa kijeshi ndani ya Mashariki ya Kati.Kuvunja nguvu ya makombora yake ya masafa marefu ya nyuklia.
Kwa Mujibu wa Itifaki ya utaratibu wa waraka na 9 Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Rais Putini ameagiza wizara zake za Usalama na Ulinzi pamoja na Wizara ya Mambo ya Nje wa Urusi kuingilia kati ilikusuluhisha Mgogoro kabla hauja tokea.Na kuhakikisha Masilahi na watu wa Urusi wamelindwa kwa hali zote iwapo Kutatokea mapigano ya kisilaha.
Kwa taarifa za kiinteligensia Wamarekani wengi hawana habari kile kinachoendelea na hawajapewa taarifa ya kinacho endelea. Katibu mkuu wa ulinzi wa Marekani Bw.Robert Works ameshatoa maelekezo ya tahadhari kwa vikosi vyilivyoko Bahari ya Kusini ya China .
Onyo kama lilisha wahi kutolea na aliyekuwa Naibu Katibu wa Nchi zilizoko Asia wa Marekani Bw.Kuth Campbell
.

0 comments:
Post a Comment