Shirika la kitelejensia la kimataifa(SVR) Foreign Inteligence service limetoa taarifa kuwa kama ilivyokuwa katika Vita vikuu vya dunia vya pili .Wale wahalifu wa kivita wa kinazi walipotambua kuwa wameshindwa vita wali haha na kukimbilia katika nchi ya Marekani.Katika hali ya kushangaza Serikali ya Obama katika wiki chache zilizopita imewapokea na kuwa hifadhi Magaidi wa (Isis,Isal,Daesh)waliokuwa katika Kanda ya Mapigano ya Levant huko Syiria.Wahalifu hawa wameingia Marekani kama wakimbizi wa vita.
Tukio hili lina rejesha kumbukumu ya wapiganaji 1500 wahalifu wa Nazi waliotoroka kukamatwa na Majeshi ya Urusi Katika Vita Kuu ya pili.
Kulingana na Historia Marekani iliwatorosha Manazi hawa waliokuwa Wanasayansi,Wanateknolojia na Mainjinia ambayo Marekani ilitaka iwatumie katika makampuni yake.
Katika hali yakushangaza Utawala wa Obama pia imeamua kuwatorosha Makamanda wa kundi hili baada ya kupata kipigo toka katika majeshi ya Urusi hii ni kuhofia kuwa watakamatwa na Majeshi ya Urusi na kuogopa kuhojiwa na funua siri iliyopo ya ushirika na Kupata misaada toka Marekani.
Mpango halisi uliopo ni kutorosha Magaidi zaidi ya 10000 wakiwemo Watumwa wa Ngono wanawake wakikristo pamoja na wake zao na watoto waliopatikana kutokana na ubakaji. kabla ya tarehe 30 Septemba mwaka huu
Mwanasheria Mkuu wa Marekani Generali Donald Verrilli aliuambia uongozi wa Mahakama Kuu ya Marekani kuwa Rais Obama nayo haki ya kisheria kuwapa makazi ya kikimbizi mailioni ya Magaidi hao na kuwapa fedha za serikali za kujikimu,kibali cha kupata huduma za kijamii bure,tiba na huduma zingine za kifedha kwa gharama ya walipa kodi wa Marekani.
Shirika la Frontex la Umoja wa Ulaya limetoa onyo kuwa Magaidi wanatumia mbinu ya wakimbizi wa kivita kuingia katika nchi za Magharibi na kutekeleza Uhalifu katika nchi walizofanikiwa kuingia..Shirika hili limeionya Marekani kwa kuingiza Viongozi wakuu wa Ugaidi katika nchi yao ni kukaribisha Hatari katika milango yao katika hali ya juu isiyoweza kutamkika.

0 comments:
Post a Comment