Kwa mujibu wa Historia Taifa la kwanza duniani kuwa Taifa la Kikristo ni nchi ya Armenia natoka mwaka 1915 imekuwa ikishabuliwa na mataifa ya Kiisalmu ilikuwa ondoa katika uso wa dunia ambapo katika karne hiyo waliuawa watu 1.5 milion kiasi cha kwamba mauaji hayo yalijulikana kama Armenia Genocide.Mauaji haya yalikuja kuzimwa na Urusi mwaka 1922.
Mwaka 1991 nchi hii ilijipatia uhuru wake tena na baada ya kupata tu uhuru wake Taifa la Azerbaijan ilianza kulishambulia Taifa hili kwakuwa lenyewe lilikuwa Taifa la Kiislam na toka mwaka 1988 lilikuwa limeahidi kulifutilia mbali katika ramani .Ambapo vilipiganwa vita vya Nagomo Karabakh
ambavyo vilimalizika mwaka 1994 kwa raia 30000 kupoteza maisha.Vita hii iliitwa vita Baridi lakini kuanzia wiki hii iliyopita vimekuwa Vita Moto Baada ya Rais Tayyip Erdogan kwenda Marekani kwenye jumba lake la kifahari la dollar 100 million kuona gari lake alilonunua la Mecury LLC lobbiyist nakuanza kulalamikia Marekani kuwa Taifa la Armenia lenye watu wakristo million 3 kuwa limekuwa tishio kwa nchi yake.
Kwa miaka 22 iliyopita Uturuki imekuwa ikiwafadhili Taifa la Azerbajani kwa vifaru ,Mizinga pamoja na Ndege za kivita ilikuliangamiza Taifa hili.
kwa kuwa Uturuki ndiyo mfadhili mkubwa kwa Magaidi yanayopigana na Utawala wa Syria kwa silaha na Utaalamu wa Medani ya Kivita.
Habari za Kiintegensia zina sema Naibu Spika wa Urusi kwa bunge la watu wa Kawaida la Urusi Bw.Sergei Zheleznya kuwa Usainiwe mkataba na Taifa la Armena ilikulilinda Taifa hili ililisije ingia kwenye vita
Kambi ya NATO imetaharuki hasa kutokana na majeshi ya Urusi tayari yamo Armenia Tangu Novemba 2015
Rais Erdogan ma Mwanae Bilali amabo ni wafadhili wa kuu wa Isis wana mpango wa kuanzisha vita mpya kwenye nchi ya Wakristo wa Armenia> Hofu ya Erdogani kikati ya mazungumzo ya Marekani na Urusi kuhusu vita Vya Syria wa kuushambulia Mji wa Raqqa ulipo Kasikazini mwa Syria ambayo ni makao makuu ya Isis mwafaka huu ukifikiwa itakuwa hasara ya Mabilioni ya dollaer za kimarekani kwa Odogani kutawala Mashariki ya kati.

0 comments:
Post a Comment