JOBLIZ

  • Latest News

    SERA YA HAPA KAZI TU YA MAGUFULI VIS DHANA YA CLOWARD-PIVEN YA MAREKANI

    Cloward-Piven ni mkakati wa kisiasa ulioasisiwa Mwaka 1966 huko Marekani na Wanasiasa na wanasosiolojia Richard Cloward na Frances Piven waliokuwa Maprofesa wa chuo  Kikuu cha Ustawi wa Jamii cha Colombia.
    Madhumuni makuu ya Mkakati huu wa Kisiasa ulikuwa ni Kutokana na Mzigo wa Umasikini wa Wamarekani na Mkakati wa kuondoa Umasikini huo.kuondoa migogogo ya wanachi dhidi ya serikali yao na kujenga Utaifa.
    Mkakati huu wa Cloward-Piven ulikuwa ni mkakati wa Chama cha Demokratiki ambapo wakati huu kilikuwa ndio chama tawala Marekani,kwa kuchukua hatua za kiserikali kuhakikisha inawasaidia Raia Masikini wa nchi hiyo na kuboresha miundo mbinu ya huduma za kijamii.Mkakati huu ulikuwa ni kuorodhesha kero zote zinazo wakabili wananchi na kuzikabili.Kama vile Kuondoa Utawala Msonge,kuongeza huduma za kijamii na kuondoa kero ambazo zilikuwa zinawakabili wananchi Mf.Huduma Afya Bure (Obama Healthcare)Kusaidia serikali za Mitaa (Loca Gavorment)Kwa kutoa miundo mbinu ya kijamii bure.Kuondoa Matabaka ya Ubaguzi wa kirangi.Na Matabaka ya utofauti ya kimapato.Mkakati huu ulilenga kuondoa Matabaka yote yaliyokuwa yanajitokeza,kuondoa migogoro ndani ya jamii iliyokuwa inatokana na ukusanyaji holela wa kodi ambazo ni zakuwagandamiza waty wa kipato cha chini.Hivyo serikali iwe na majibu ya kutatua maswala yote ya kijamii kupunguza na kuondoa umasikini.
    Madhumuni makuu ya mkakati huo ilikuwa kuondoa umasikini na kuongeza pato la mwaka kwa Raia.
    Mtazamo wa chama Tawala cha Democratic ni kuwa fumba Mdomo Chama pinzani cha Consrevative Republic ambao ambao ni wa piga kelele wepesi wa kuona Maovu ya Huduma za Kijamii ambao ni wa kwanza wa kuinua mbiu na Makelele kwa kuinua mdomo kueleza Migogoro iliyopo kwa watumishi wa umma na hali mbaya za huduma za kijamii.
    Na kwa hali hii mpaka sasa hali ya umasikini umepungua sana Nchini Marekani.Na imeongeza pato kwa watu Masikini wa nchi hiyo
    Matokeo ya Dhana hii iliongeza pato kwa watu Maskini na ilipunguza Migogoro mingi ya wananchi ambayo iliyokuwepo kati ya mwaka 1964 and 1969 ambapo kulikuwa na uvunjifu mkubwa wa Amani ndani ya nchi na ukawepo utulivu mkubwa zaidi na Uzalendo kwa wananchi wa Marekani ukaongezeka kuipenda nchi yao.
    Pamoja na mafanikio makubwa hayo mpango huu ulilaumiwa kuwa ulisababisha serikali kufilisika na Uchumi ndani ya Serikali Kudorora Uchumi Mwaka 1975 na Kupendelea watu weusi.
    Mhariri wa gazeti la The Nation    Richard Kim aliulalamikia mwaka 2010 kuwa mpango huu ulishusha uchumi mwaka 2008.Pamoja na hiyo yote Mmoja wa Waasisi wa mpango huu anawaita Chama Cha Upinzani ni Wahuni kwa kutoa Tafasiri mbovu za dhana hii iliyoleta Utulivu na Mshikamano wa kitaifa.
    Hapa ni Kazi tu ni Sera zuri ya CHAMA CHA MAPINDUZI Utekelezaji wake wa Dhana ya utumbuaji majipu nauongezaji wa Ukusanyaji wa Mapato ya serikali ya Nchi na uwajibikaji wa watumishi wa Umma Itakapoendelea kutekelezwa vizuri bila kuoneana aibu na kulindana Utakuja kuleta utulivu ndani ya nchi yetu na Kurudisha uzaendo Kwa Tanzania

    HAPA NI KAZI TU HONGERA JPM ACHA NA USANII WA WAPINZANI.ALUTA KONTINUA ENDELEZA MAPAMABANO HADI TUFIKIE UCHUMIWA WA KATI.
    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SERA YA HAPA KAZI TU YA MAGUFULI VIS DHANA YA CLOWARD-PIVEN YA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top