JOBLIZ

  • Latest News

    MDUKUAJI WA SIRI ZA HILLARY CLITON GUCCIFER AMETOROKA NA HAJULIKANI ALIKO

    Taarifa  za kiintelenjesia la shirika la Ujasusi la (SVR) la Urusi limetoa taarifa ya kushangaza kuwa Mdukuaji mkuu wa Kashfa ya siri za Hillary Clinton Mromania Marcel Lehel Lazar anayejulikana kwa Guccifer aliye weza kudukua Barua pepe ya binafsi  ya Hillary Clinton na barua pepe za serikali ya Marekani .Shirika la FBI limegundua kuwa ametoroka katika mahabusu  za Marekani alimokuwa amezuliwa kwa mahojiano.
    Kwa mujibu wa taarifa hii ambazo nilishawahi kuandika kwa kashfa kubwa za kuvuja kwa siri za Serikali ya Marekani ambazo zinamkabili Mgombea wa Urais Hillary Cliton aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ikulu ya Marekani.
    Mdukuzi Guccifer alianza kufatiliwa na shirika la Kijasusi la Kirusi la SVR baada ya kujaribu kudukua shirika la habari la RT ambayo ni Television ya Urusi Mwaka 2011 na baadae kuweza kufuatiliwa na kunyanganywa Taarifa alizokuwa nazo na shirika la kijasusi la SVR.Na Mwaka 2013 shirika la televisheni la RT kutoa habari ya Nyaraka za Siri  nyaraka za Hillary Cliton za Bengazi Taarifa zilizodukuliwa kwenye barua pepe ya Cliton March 20 mwaka 2013,Moja wapo ya Barua nyingi ni kama inavyosomeka hapo chini.


    Matangazo hayo ya RT yaliruhusiwa kutangazwa na mwenyekiti wa RT na Valetina Mativyenko Serikali ya Marekani ilijitahidi sana kuficha wananchi wake kuvuja kwa siri hizi lakini Shirika RT lilendelea kuvujisha siri nyingi zaidi ambazo ni Siri kuu za Serikali ya Marekani .Baada ya kuona hivyo walimkamata Guccifer huko Romania na kumuhamishia Marekani Shirika la Habari la Serikali ya Marekani NBS News lilikaa kimya kwa wiki tatu.Guccifer alikiri tuhuma hizi za udukuzi wa siri za Serikali za Marekani  na alipokuwa anasubiri hukumu yake aliwekwa katika jela ya Detention Center Bureau(DCB) iliyoko Alexandria Virginia majasusi watatu wa FBI walipoamua kumtembelea  tarehe 4 julai 2016 waliambiwa kuwa amehamishiwa katika eneo lingine la siri tarehe 25 Mei 2016 masaa machache tu baada ya kikao cha siri kati ya Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Marekani Loretta Lynch na Bill Clinton

     Uchunguzi wa SVR unaeleza kuwa mwenye mamlaka ya kumuachia au kumhamisha alikuwa nayo mtu mmoja tu ambaye ni Mwanasheria wa Serikali Loretta Lynch pekee yake na alifanya hivyo kwa kumtumia Jasusi wa Magereza ya Marekani wa shirika la Federal Bureau of Prison(BOP)lakini kwa nini hii ilitokea .Hii inawezekana kwa sababu tarehe 5.7.2016 Ni siku ya kuhojiwa kwa Clinton kuhusu kashfa hiyo ya Barua pepe hivyo inawezekana hawakutaka Guccifer awepo kwenye mahojiano hayo.
    Kwa siri kuu alizonazo Guccifer ni fungua za kufungulia computer(encrypted computer keys)za barua pepe zilizotumwa toka kwa Clinton , shirika la Clinton Foundation na Serikali ya Marekani ambayo inahitajika Mahakamani kwa ajili ya kufungulia Barua pepe zinazokadiriwa 34000 za siri ya Serikali ya Marekani
    Alogarithim encryption kwa barua pepe za Hillary clinton zilizofunguliwa na Guccifer ni funguo muhimu za kufungua za kufungua habari katikabarua pepeamabyo pia kinyumechake ni decrypton Alogarithim  amabyo pia huweza kuonekana katika sehemu nyingine au kufunguliwa kwingine kwa crytogafia alogarithim na funugua nywila mbalimbali.
    Kashfa hizi za za Hillary Clinton kwa uchacheni kama ifuatavyo
    2.Jaribio la Hillary Clinton la kuongoza kufuta madeni ya Mkwilima wake Marc Mezvinsky ya Umoja wa Ulaya kwa mgongo wa Ugiriki
    3.Mgogoro wa kuichunguzi uliokuwepo wa kivita kati ya Jeshi la anga la Uhaini wa General Philip Breedlove na Obama
    Je Hillary Clinton au Mume wake watajahukumiwa kwa Makosa waliyowatendea Wamarekani kama wanavyo hukumiwa watu wa kawaida kwa makosa kama yao au wao wako Juu ya sheria.Lakini wa Maarekani wasiwe na shaka kwa kuwa Mbabe mwingine anazo siri zao.HUKUMU ITATOKA TU

    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MDUKUAJI WA SIRI ZA HILLARY CLITON GUCCIFER AMETOROKA NA HAJULIKANI ALIKO Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top