Makombora ya Iran yametua mita 500 kutoka katika manuari ya kubeba Ndege za kivita ya Marekani USS HARRY S.TRUMAN. Hii ilitokea desemba 26 wakati ikipita katika bahari kuu ya kimataifakatika eneo la Hormuz eneo la Ghuba ya Uarabuni. Trumani ni manwari ya kwanza kuingia ghuba ya U
arabuni baada ya manwari Rooseveit kuondoka katika ghuba hiyo mapema mwezi wa oktoba,Irani ilikuwa infanya majaribio ya makombora yake.Manwari ya Truman inatumika katika kuendesha vita thidi ya Dola la Kiisalamu Vya Iraki na Syria.Manwari Charles De Gaulle inayobeba Ndege za Kifaransa nayo pia ipo katika ghuba hii kutoa msaada wa kivita.
0 comments:
Post a Comment