Afisa wa zamani aliyeaasi wa habari na mawasiliano wa Jeshi la Burundi Luteni kanali Edouardo Nshimirimana amesema kuwa yeye na maafisa wengine wa Jeshi la Burundi wamuungana pamoja kulinda raia wanaouawa nchini Burundi kwa kuunda jeshi la kumuondoa Rais Nkurunzinza.
Lengo lao kubwa ni kulinda makubaliano yaliyofanyika Arusha ya kuwa rais atakuwa na vipindi viwli tu vya utawala.Vikosi vyote vimeungana kuunda Jeshi la Jamhuri ya Burundi . hivi karibuni lilishambulia vikosi vitatu vya jeshi na kuteka silaha ya kutosha kupambana na Jeshi la Burundi.
Hivyo ameomba Warundi wenye kuamini utawala wa kisheria waungane nao.

0 comments:
Post a Comment