JOBLIZ

  • Latest News

    DOLA YA KIISLAMU YAPATA PIGO MARA DUFU;RAMADI YA KOMBOLEWA NA VIONGOZI WAKE WAUAWA

    Majeshi yanayongozwa na marekeani ya waua viongozi 10 wa Dola ya Kiisalamu kutokana na mashambulizi za ya anga wakiwemo waliopanga mashambulio ya Paris.
    Waziri Mkuu wa Irak Haider al-Abadi ameweka bendera ya taifa Ramadi baada ya majeshi kuukomboa mji kutoka Mikononi mwa Magaidi wa Dola la kiislamu .Hii itasaidia katika kujijenga zaidi katika medani ya kivita .
    Kanali Steve Warren msemaji wa jeshi la Amerika  lililoko huko alisema kuwa wameua makamnda wa jeshi la dola ya kiislamu wapatao 10 wakiwemo na wale waliohusika na kuchora ramani ya ushambulizi ya Mjini Paris.Kamanda huyu ameelzakuwa mikakati iliyopo sasa ni kuanza kuipiga Dola hiyo sehemu za Magharibi.Kati ya Magaidi yaliyouawa ni pamoja na Abdul Qader Hakim aliyewawezesha magaidi kufanya Mashambulizi ya mjini Paris .Warren anasema kuwa Gaidi hili liliuwawa siku ya 26 Desemba Kasikazini mwa Iraki katika mji wa Mosul.Pia Gaidi Charaffe al Mouadan aliyekuwa na makao yake
    huko Syria  aliye na ushirika na Gaidi Abdalhamid Abaaou mtajwa kuwa kiongozi na mhusika katika kupanga mashambulizi huko Paris nov.13 yaliyoua watu 130 pia ameuawa.Mouadan alikuwa anapanga mashambulizi mengi huko Magaribi.Mikakati ya kuua viongozi hawa imeleta mafanikio katika medani ya vita dhidi ya Dola la kiislamu .Dola ya Kiislamu imepoteza maeneo mengi ikiwemo njia kuu ya Raqqa huko Syria.Mafanikio haya yanatokana na kundi hili kukosa viongozi wake.Lakini pamoja na hayo yote bado kundi hili lina nguvu sio la kubeza.

    DHIMA YA USHINDI
    Majeshi ya Iraki kuukomboa mjini kati wa mji wa Ramadi ni dhima ya kwanza kuu ya ushindi katika mstari wa Mbele wa Majeshi ya wasunni Iliyotekwa tangu mwaka 2014 na wameukomboa mji huo kutoka na mashambuli ya anga ya majeshi washirika. Waziri Mkuu irak  ametangaza mapumziko kusherekea ushindi huo isipokuwa kwa askari walioko zamu na baadae kuanza kutegua mabomu ya lioachwa yametegwa na askari wa Dola ya Kiisalamu.

    MAPAMBANO YA KUELEKEA MOSUL.
    Waziri wa Fedha Hoshiyar Zebari aliiambia gazeti la Reuters kwamba Jeshi litahitaji msaada kutoka kwa kabila la Wakurd walio na wapiganaji wa Kurdush Peshmerga ilikuukomboa mji mkubwa Unaoaongozwa Dola lakiisamu kuwa huko kua madhebu pinzani ya kiislamu ambayo huuwaunga mkono wapiganaji wa Dola ya kiislamu  .
    Msemaji Bwana Zebari amesema kuwa kushambulia Mosul inahitajika maandalizi ,mipango mizuri na uwajibikaji amesama hayo akiwa huko Baghdad jumatatu.Iraki hiwezi kushinda bila jeshi kuu laPeshmerga ambalo ni jeshi la kabila la Wakurdi wa Iraki wanaoishi kasikazi mwa mji wa Mosoul 

    • Blogger Comments
    • Facebook Commentshttps://www.facebook.com/groups/kallyboy/

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DOLA YA KIISLAMU YAPATA PIGO MARA DUFU;RAMADI YA KOMBOLEWA NA VIONGOZI WAKE WAUAWA Rating: 5 Reviewed By: ndalahwabohe
    Scroll to Top